Kwanini jamii yetu imetoka kabisa nje ya maadili yetu, na siku hizi wazee wanahofia kuwakanya vijana eti kwakuwa kwa kuwa sio watoto wao, wakati katika taamaduni zetu, wazazi wamekuwa huru kuwakanya watoto wao na wa wenzao? Vile vile, mara nyingine wazazi huogopa hata kuwaelekeza watoto wao wenyewe, maana huambiwa na watoto hao bila heshima, eti wamepitwa na wakati. Tufanye nini ili kurudi tulikotoka? | Why our society legs missing completely out of our values, and these days the young elderly are afraid condemned them as not simply because their children, whereas in our taamaduni, parents have become independent and condemned them to their children's peers? Similarly, parents are sometimes afraid to even describe their own children, because children are told by those without honor, that are overtaken by time. What can we do to return to where we came from? ... | Edit |