Envaya

Tafsiri: English (en): Wafasiri: TANZANIA YOUTH NEW FASHION (TYNF)

Jina TANZANIA YOUTH NEW FASHION (TYNF)
Badiliko la mwisho 28 Agosti, 2012
Tafsiri 3
Kura 4

Tafsiri mpya

Internal IDAsiliEnglishMfasiriMuda ya Uumbaji
(hidden)
WIFF8nHd6IQF0jDdD3epoBlo:contentc)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri. – d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika. – e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo – f)Kamati zifanyiwe...c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri. – d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika. – e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo – f)Kamati zifanyiwe...TYNF10 Julai, 2012
WI0GMXbMKAlU09CDkFo9cMBO:contentKulingana na ukubwa wa tatizo la watoto walio katika mazngira hatarishi serikali na wadau wengine wametakiwa kufuatilia kwa ukaribu kumbkumbu za watoto waliosajiliwa awali ili kujiridhisha na usahihi wa takwimu za awali na takwimu mpya.Kulingana na ukubwa wa tatizo la watoto walio katika mazngira hatarishi serikali na wadau wengine wametakiwa kufuatilia kwa ukaribu kumbkumbu za watoto waliosajiliwa awali ili kujiridhisha na usahihi wa takwimu za awali na takwimu mpya.TYNF25 Juni, 2012