Fungua

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WIFF8nHd6IQF0jDdD3epoBlo:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) English

c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri.

d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika.

e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo

f)Kamati zifanyiwe marekebisho

g)wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika

h)kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi zijengewe uwezo..wanakamati wapatiwe mafunzo ili kuleta ufanisi katika kazi zao za kila siku, hii itawasaidia kuweza kuandika taarifa na kujaza fomu zote zitakazotumiwa na wanakamati wakati wa utekelezaji wa mradi wa Jali Watoto

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

TYNF
10 Julai, 2012
c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri. – d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika. – e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo – f)Kamati zifanyiwe...