Ijambo | Base | English | Umusemuzi | Igihe gishyizweho |
---|
WIqG5NplNvDlymgKymCRVRjw:content | Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org | Umoja wa wawezeshaji kioo ni shirika lisilokuwa la kiserikali lenye makao yake makuu katika kijiji cha Ilagala na sasa lina uhitaji wa wafanyakazi wa kujitolea wapatao 5 kwenye maeneo yafuatayo:- Uandishi wa miradi, M&E specilists, mtunisha mfuko (fundrise office) na mtu wa IT kwa ajili ya kuweka kumbukumbu mbalimbali za shirika kwenye website yetu ambayo ni www.kioo.org | kioo | 23 Gicurasi, 2012 |

WI00038A0DAFB40000041227:content | Hivi karibuni shirika la KIOO lilifanya ufuatiliaji wa shughuli zake katika kata ambazo mradi wa ufuatiliji wa uwajibikaji kijamii unapofanyika. Katika ufuatiliaji huo ilibainika kuwa pamoja na kwamba serikali imeridhia suala la kupereka madaraka kwa umma kwa kutumia njia ya D by D bado hali ya watendaji huko chini inatia mashaka.Mfano katika kata ya Nguruka kijiji cha Nyangabo na Bweru havina ofisi za watendaji wa vijiji jambo ambalo limeperekea nyaraka mbalimbali za serikali kutunzwa... | Recently KIOO organization was monitoring her activities carried out in the wards where the project of social accountability is conducted. During the monitoring it was found that although the government has ratified the issue of public power using the D by D state officials still at the bottom bolsters in the county and forexamples Nyangabo and Bweru villages in Nguruka are not having village executive offices of the villages which resulted into various government documents... | kioo | 30 Nyakanga, 2011 |