Envaya

Ubusobanuro: English (en): User Content: WIB45a5cQsO7QwHBiBa7aXGn:content

Base (Igiswayire) English

Kwanza tunatoashukrani za dhati kwenu Envaya kwa kutusaidia ukurasa huu. Shirika letu la TUNAWEZA WOMEN  GROUP tunahitaji mwalimu wa michezo tunao vijana ambao wana hitaji mwalimu wa kuwafundisha nakuwasimamia  katika mchezo wa mpira wa miguu,tunahitaji pia mwalimu wa kufundisha ushonaji kwani tunao wasichana wanaojifunza ufundi wa kushona nguo,Tunaomba piamtaalamu wa kuandaa na kutoa semina kwa jamii, mtaalam na mshauri wa mambo ya ukimwi tunahitaji pia mtaalam na muandishi wa madokezo ya miradi.

Asante kwa ushirikiano kwa mawasiliano

A.Mtambalike 

simu 0784 399400/0655 399400

First we toashukrani Envaya appreciation to you for helping us page. Our organization of CAN women GROUP we need to master the games we have young people who have a need to master to teach nakuwasimamia in the game of football, we also need a teacher to teach tailoring because we girls learned crafts sewing clothes, courageous piamtaalamu to organize and provide seminars for the community , expert and consultant AIDS issues we also need expert notes and writing projects.

Thank you for cooperation in communication

A.Mtambalike

phone 0784 399400/0655 399400


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
25 Gicurasi, 2012
First we toashukrani Envaya appreciation to you for helping us page. Our organization of CAN women GROUP we need to master the games we have young people who have a need to master to teach nakuwasimamia in the game of football, we also need a teacher to teach tailoring because we girls learned crafts sewing clothes, courageous piamtaalamu to organize and provide seminars for the community , expert and consultant AIDS issues we also need expert notes and writing projects. ...
envayateam
22 Gicurasi, 2012
First of all we would liek to take the Opportunity to thank Envaya for helping us create this page. – Our organization TUNAWEZA WOMEN GROUP need physcial exercise teachers. We work with young people who need someone to look after them during their football games. – We also need a teacher to help teach tailoring because we have girls who are learning the craft. – We are also asking for a specialist who can give...