Base (Igiswayire) |
English |
Uwakilishi wa wananchi upo nchini kisheria na wawakirishi hao hupatikana kwa njia ya kura halali ambazo hupigwa na wananchi kote nchini. Madiwani hawa wameonekana kuwa chachu ya mijadala katika halmashuari mara baada ya kushiriki mafunzo ya KIOO ya ufuatiliaji na uwajibikaji kijamii ambayo kwao waliyaona kama yamewafungua macho na kuanza kufuatilia kila kitu kwa ukaribu zaidi. Moyo huu waliouonesha tunawaomba wauendeleze kwa ajili ya maendeleo ya waliowachagua.
|
Representation of the people exists in the legal and wawakirishi found through valid votes which are received by the people across the country. These councilors have been found to be the leaven of the discussions at the lmashuari immediately after training GLASS share monitoring and social accountability which they were seen as yamewafungua eyes and start tracking everything more closely. This encouraged the show we ask wauendeleze for the development of electorates.
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe