Asili (Kiswahili) | English |
---|---|
Centre for Children and young people Development linaungana na dunia pamoja na watanzania wote kusheherekea siku ya wanawake duniani March 2012. Siku hii pekee inatupa nafasi ya kutambua mchango wa wanawake katika harakati ya kumkomboa mwanamke. Centre for Children a Young people and Adult Development linapenda kuadhimisha siku hii kwa kuikumbusha jamii ushiriki wa pamoja kwa kupinga unyanyasaji na ukatili kwa wanawake na watoto ambayo huadhimishwa kila mwaka mwezi December. Asasi inatambua mchango wa akina baba , vijana , watoto katika nguvu za pamoja katika kuleta mabadiliko na maendeleo ya kisasa. Asasi inaungana na mashirika mengine kutambua mchango wao katika kutetea na kupigania haki ya mwanamke. Mwanamke wa leo ni shupavu , jarisi na ameonesha anao uwezo wa kufanya mambo mengi bila kuwa tegemezi . Wanawake wa Tanzania ni mhimili wa Taifa letu ambalo ndilo linajenga maendeleo ya nchi yetu. Daima tusonge mbele. |
Centre for Children and Young People Development linaungana and earth with all Tanzanians celebrate women's day around March 2012. This special day gives us the opportunity to recognize the contribution of women in the process of freeing the woman. A Centre for Children and Young Adult Development linapenda people celebrate this day reminds me of joint participation in community anti-violence and cruelty to women and children which is celebrated every year in December. Organization recognizes the contribution of fathers, teenagers, children in joint force in bringing about change and modern developments. Organization joins with other organizations to recognize their contributions in defending the rights of woman. Today's woman is strong enough, jarisi and has shown he has the ability to do many things without being dependent. Women in Tanzania are the backbone of our nation which is the development of our country creates. Always move forward. |
Historia ya tafsiri
|