Log in
Tushikamane Organization

Tushikamane Organization

Morogoro Vijijini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Lengo kuu la asasi ni utunzaji wa mazingira katika dhana endelevu,kuelimisha umma juu ya Kilimo cha kisasa,kuwaelimisha wakulima na wafugaji dhidi ya kanuni bora ili kuondoa umaskini uliokithiri hapa nchini.

kuwahamasisha wananchi juu ya kukabiliana na magonjwa sugu kama vile ukimwi,malaria na TB.

Latest Updates
Tushikamane Organization created a History page.
HISTORIA YA ASASI YA TUSHIKAMANE ORGANIZATIONAsasi ya Tushikamane Organization ilisajiliwa rasmi tarehe 29/6/2011 na kupata usajili 00004721 katika wizara ya maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto na kufanya kazi katika mikoa yote Tanzania... Read more
August 12, 2012
Tushikamane Organization created a Team page.
Ununi Ramadhan Mng'oo-Mwenyekiti Yahaya Rajab Mgoda-Mratibu Mkuu Janeth Shaban-Mratibu wa Fedha Ramadhan Palu-Mratibu wa Elimu Aziza Rashidi-Mratibu wa Maendeleo Jamii na Watoto Bibiana Joseph Kibua-Mratibu wa... Read more
August 12, 2012
Tushikamane Organization joined Envaya.
August 12, 2012
Sectors
Location
Morogoro Vijijini, Morogoro, Tanzania
See nearby organizations