Mwl Faraji wa shule ya Msingi Mbugani akiwa katka vazi la kifalme lilokua likivaliwa na Watemi wa kisukuma hapo kale
Wanafunzi wa shule ya Mssingi Mbugani iliyopo jijini Mwanza wakiwa ziara Bujora Museum
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mbugani wakiwa wamewasili katika ardhi ya Wasukuma wlikuwa pamoja na walimu wao faraji Rashid,Fransisca mbao na Asha Suleiman
Tascco kuandaa safari ya kwenda Bujora sehemu ya Kihistoria iliyopo Jijini Mwanza siku ya Alhamis ya Tarehe 31.03.2011 Hii itahusisha Wanafunzi wa darasa la NneShule ya Msingi Mbugani pamoja na Walimu wao.Hii ni ziara ya kielimu kwani Tascco inahusiana na mambo ya Kiutamaduni.
TASCCO PREPARE YOUTH EMPOWERED TO SUCCED [YES] PROGRAM IN MISUNGWI MWANZA. NOW STILL DEAL WITH PREPARATION OF YES CLUBS IN SCHOOL AND OUT OF SCHOOL YOUTH ,THROUGH THIS PROGRAM TASCCO WILL IMPLEMENT TARENT IDENTIFICATION PROGRAM SO AS TO DEVELOP NEW TARENT, ALSO TASCCO IDENTIFIED 150 PLANT USED TO CURE DIFFERENT DISEASES, NOW TASCCO IS LOOKING SOME PARTNER TO DEVELOP ITS PROGAM OFHELPING OUR TRADITIONAL KNOWLEDGE TO SUSTAIN BY STARTING PRESERVATION OF TRADITIONAL KNOWLEDGE ESPECIAL FROM SUKUMALAND,