Kuwa na jamii iliyoelimika na yenye afya bora, itakayo weza kutumia rasilimali zinazo wazunguka ili kujiletea maendeleo.
Ili kufikia lengo hili asasi inafanya hivi kwa kushirikiana na serikali za mitaa, serikali za vijiji mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yaliyopo ndani na nje ya nchi pamoja na jamii kwa ujumla.
Ili kufikia lengo hili asasi inafanya hivi kwa kushirikiana na serikali za mitaa, serikali za vijiji mashirika yasiyokuwa ya kiserikali yaliyopo ndani na nje ya nchi pamoja na jamii kwa ujumla.
Mabadiliko Mapya
Tambani Rural Community Development Fund imeumba ukurasa wa Miradi.
Shughuli kubwa za TARUCODEFU ni kufanikisha mazingira ya uwezeshwaji yanayo hakikisha kuwa – 1.wakulima, wavuvi, pamoja na wafanya biashara wadogo wadogo wanajengewa... Soma zaidi
12 Oktoba, 2010
Tambani Rural Community Development Fund imeumba ukurasa wa Timu.
UONGOZI NA VIONGOZI – Mwenyekti: MAULIDI YUSUF KWANGAYA – Mkurugenzi : SHAIB SAID LIPWATA – Mwekahazina: ... Soma zaidi
12 Oktoba, 2010
Tambani Rural Community Development Fund imeumba ukurasa wa Historia.
TARUCODEFU ni kifupi cha Tambani Rural Community Development Fund, ni Asasi isiyo kuwa ya kiserikali na isiyokuwa ya kupata faida, imesajiliwa mwaka 2001 na kupata hati na SO 10944, Asasi hii inafanya kazi zake katika mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi,... Soma zaidi
12 Oktoba, 2010
Tambani Rural Community Development Fund imejiunga na Envaya.
3 Mei, 2010
Sekta
Sehemu
MKURANGA, Pwani, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu