Envaya

large.jpg

Gari nazo huchafua hewa hata kama ni nzuri kiasi gani,hivyo twapaswa kuwa makini nazo

26 Mutarama, 2014
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

Aaron katto (Mtwara-stemmuco) bavuzeko
Nami nichukue nafasi nyeti kuwashukuru wageni wao kwa Elimu na mawazo mbalimbali waliyotoa siku hyo ikiwemo namna ya kuboresha mazingira, kupambana na Ujangiri kwa ushauri wao walotoa, pia niwashukuru wanafunzi wenzangu waliohudhuria na kupata hyo elimu ni mengi tulijifunza kutoka kwa wageni wetu.!!!!
Niwashukuru viongozi na Mlezi wetu Lectr Charles Mahinda kuwapokea wageni wetu
1 Gashyantare, 2014

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.