Nami nichukue nafasi nyeti kuwashukuru wageni wao kwa Elimu na mawazo mbalimbali waliyotoa siku hyo ikiwemo namna ya kuboresha mazingira, kupambana na Ujangiri kwa ushauri wao walotoa, pia niwashukuru wanafunzi wenzangu waliohudhuria na kupata hyo elimu ni mengi tulijifunza kutoka kwa wageni wetu.!!!!
Niwashukuru viongozi na Mlezi wetu Lectr Charles Mahinda kuwapokea wageni wetu
Maoni (1)
Niwashukuru viongozi na Mlezi wetu Lectr Charles Mahinda kuwapokea wageni wetu