Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Malihai STEMMUCO tunapenda kuwakaribisha viongozi wa malihai taifa mama yetu na mr.kazungu hapa Mtwara,wiki hii nadhani itakuwa ni wiki ya mbaraka kwa mtwara maana taifa limehamia kusini.Jisikieni nyumbani.Long live malihai.Motto,sayi(chairman malihai@SAUT-MTWARA)

26 Januari, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (3)

sayi motto (SAUT mtwara) alisema:
0756759423
26 Januari, 2014
sayi motto (SAUT mtwara) alisema:
NAIPENDA SANA MALIHAI
26 Januari, 2014
henry mrindoko (dodoma ) alisema:
Nawapenda sana mali hai hapa shuleni kwetu mazingira yako safi. naomba number za malihai taifa ili kuanzisha club hapa kwetu
10 Juni, 2020 (ilihaririwa 14 Juni, 2020)

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.