Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

AFISA Malihai Club of Tanzania(MCT)CHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TOKA MAKAO MAKUU ARUSHA AKIMKABIDHI VYETI MKUU WA CHUO KWA WAHITIMU WA MWAKA WA TATU 2009/2012. WAKWANZA KUSHOTO NI MWALIMU MLEZI WA STEMMUCO MALIHAI CLUB

January 11, 2013
« Previous Next »

Comments (64)

KAVISHE (MTWARA) said:
hongereni sana na endeleeni hivyo hivyo katika harakati za utunzaji wa mazingira
April 10, 2013
Mbonde Fadhili (Mtwara) said:

Inapendeza sana,lakini isiishie hapo ni lazima tutazame mbele zaidi ili kutunza vyema mazingira yetu.

May 8, 2013 (edited May 8, 2013)
motto sayi (STEMMUCO-mtwara) said:
Mimi kama mwenyekiti mpy wa malihai natoa wito kwa jamii ya stemmuco na wanajamii wote wa mtwara kuweza kutunza mazingira ili tuweze kuishi maisha mazuri,pia wito natoa wito kwa wanachuo waweze kujiunga na malihai ili pamoja tutunze mazingira
November 5, 2013
motto sayi (STEMMUCO-MTWARA) said:
Tunapoadhimisha kifo cha Mandela twapaswa kujiuliza kuhusu kizazi chetu cha baadaye kitakuja kurithi nini kama tunakuwa waharibifu wa mazingira?
Lets wake up for environmental conservation you people of Africa,! Africa is one, together we can make it happen! Long live malihai STEMMUCO,.
December 11, 2013
Mramba Simba (STEMMUCO_MTWARA) said:
N ijukumunla kila Binadamu kuyatunza na kuyaheshimu mazingira kwani tunaishi kwayo na kama hatutayathamini nidhahili kuwa tunaweka rahani uhai wetu. Malihai kwa uhai wa viumbe vyote karibuni katika klabu yetu.
December 12, 2013
Aaron katto (STEMMUCO-MTWARA) said:

Ingependeza sana kama unapokea cheti na unaendelea kutumikia na kuyatetea mazingira sioyo tu ndani ya stemmuco hata unakoenda, make mazingira ni mahali popote unapokuwa .Nawatakieni harakati njema katika kutetea na kulinda mazingira yetu.Na kwa wanaobaki endeleleeeni kulisongesha gurudumu huku mkiwajibika kuendeleza pale walikoishia wenzenu.

January 17, 2014 (edited January 17, 2014)
sayi motto (SAUT mtwara) said:
malihai maana yake ni living entity,hivyo twapaswa kufanya kwa vitendo,tuwe mawakili wazuri wa malihai,motto.
January 26, 2014
william hyera (songea (manispaa) ) said:

mi naomba malihai club mtutembelee mkoa wa ruvuma maana tuna hamu kubwa yakuwa wanachama sasa atujui tufanyaje ili tujiunge

March 16, 2014 (edited March 16, 2014)
jasson yamungu (mtwara) said:
Ni jukumu la kila mmoja kulinda na kutetea mazingira ikiwa ni pamoja na kulinda nyara zetu (tembo) wasiuawe.Together we can make it,Yamungu
April 14, 2014
Jasson Yamungu Kato (SAUT-Mtwara) said:
As we are about to vacate the place we call for majority accademicians and non-accademicians in and out of STEMMUCO to champion against misuse of our natural resources including wildlife so as to maintain an ecosystem.
April 24, 2014 (edited April 24, 2014)
kiwandai elibariki (arusha) said:
naipenda sana malihai club tangu nikiwa O-level na A- level kwa kaz ya kuelmisha kuhusu utunzaj wa mazingira, endeleeni na moyo huo, msichoke, tupo pamoja
May 11, 2014
jasson yamungu (via email) said:
Ok thanks ! Its our responsibility to keep our environment smart .hivyo tutajitahidi
May 13, 2014
simba mramba (via email) said:
misitu ni uhai ilinde ikulinde
May 13, 2014
Motto sayi (SAUT-MTWARA) said:
Kwa yeyote yule mwenye mapenzi mema na mazingira anayoishi ni busara sana kuyafanya yapendezeuweza kuyatunza kwa matumizi ya leo na kesho maana kizazi kijacho kinategemea sana tunayoyafanya leo.Lets conserve our environment for a better tomorrow.With thanks!
May 25, 2014
MTUNDU FRANK F (MBUNGE -SHANGANI) said:
bila mazingira mimi sipo na bila mimi mazingira hayapo
June 21, 2014
jasson yamungu (via email) said:
Thats real coz environment is all about our life!
June 21, 2014
Anthony Living (Arusha) said:

Nafurahi sna ninapoona juhudi za kikundi cha mazingira STEMMUCO zinaendelea vizuri.Mimi ni waziri msaidizi wa kwanza wa mazingira STEMMUCO kuongoza kikundi hiki Das y nafurahi sana kuona mpo active,bado nipo kwny harakati za mazingira chini ya malihai na mnaweza mkanicheki kwny facebook (sfasm activisits) au namba 0782146878.Ahsanteni sna.

 

June 27, 2014 (edited June 27, 2014)
david boniface kaganda (moshi-kilimanjaro) said:
I'm the leader of malihai club for smmuco moshi and also a youth coordinator of malihai. please i would like you to visit malijamii malihai youth club at facebook.. wish you all the best.
July 5, 2014
ELIAMINI (KILIMANJARO) said:
JAMANI NA MIMI NATAKA KUANZISHA CLUB SHULEI KWANGU NIFANYEJE?
FORM KILIMANJARO MOSHI
August 6, 2014
David (via email) said:
We ni mwanafunz wa fom ngapi,.

Envaya <web@envaya.org> wrote:
August 6, 2014
Messanga Albinus (Saut-Mtwara) said:
watanzania hawapo tayari kutunza mazingira zaidi hufuata vyeti
September 2, 2014
David Kaganda (via email) said:
ni kweli na hata moyo wa kujitolea haupo tena. wanasahau kuwa kujitoa ni bora zaidi kuliko hata cheti cha maandishi. tunafanya haya kuwakumbusha na kuwaonyesha umuhimu wa kuyapenda, kuyatunza na kuyalinda mazingira yetu.
September 2, 2014
MTUNDU FRANK F (MTWARA .STEMMUCO) said:
DUNIA YA LEO INATAFUTA SANA WENYE MOYO WA KUJITOLEA WA KUTUNZA MAZINGIRA. VIJANA NAOMBA TUWAJIBIKE HASA KUPANDA MITI MFANO MZURI NI VIJANA WA NJOMBE NA IRINGA.
October 9, 2014
Motto,sayi (mbeya(now)) said:
Naomba tupeane updates za malihai hpo chuoni,mwenzenu nipo Southern Highlands -Mbeya,nawapenda sana,thx jamani.By mwenyekiti msaafu,malihai,mott
November 10, 2014
ADOLPH LUCAS R, (DAR ES SALAAM) said:
Umoja na mshikamano tuliokuwa nao ndani ya Mali hai hakika umetujenga sana, kutuachia kumbukumbu ya kumkumbuka Rais wetu wa serikali Sadiki Katindasa, Mujungu na Feliciani bila kumsaau Saitabau,walianzisha kundi hili,Kavishe na kundi lilofuata kupokea kijiti hicho na badae kutukabidhi kijiti. mungu bariki chuo chetu
November 29, 2014
JEREMIA (Rungwe- mbeya) said:
MM MWALIMU WA MAZINGIRA NATAKA KUANZISHA MALIHAI CLUB SHULENI KWANGU NIFANYEJE? FROM MBEYA- josephmalulu400@gmail.com
January 15, 2015 (edited January 15, 2015)
David Kaganda (via email) said:
habari za mbeya. natumaini mzima. je nikikutumia fomu ya usajili utaweza kuitoa na kuijaza na kisha kututumia tena sisi tukusajili.?
January 15, 2015
JEREMIA (MBEYA) said:
NDIYO TUNAWEZA KUIPRINT NA KUTUMA
January 15, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
BRO ALHAMISI WIKI IJAO TUNAKAMILISHA KITU KAKA USITUCHOKE SISI NI WAHITAJI.
January 21, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
BRO ALHAMISI WIKI IJAO TUNAKAMILISHA KITU KAKA USITUCHOKE SISI NI WAHITAJI.
January 21, 2015
David Kaganda (via email) said:
usijali. jiandaeni vizuri tu. 
January 21, 2015
David Kaganda (via email) said:
fomu ya usajili malihai clubs of tanzania. mtaijaza kisha kuituma tena ili tupeleke makao makuu mkasajiliwe na mpatiwe cheti chenu cha usajili.
January 31, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
NDG.TUMETUMA EMAILI YA ILE FORM JE IMEFIKA?

2015-01-21 12:38 GMT -08:00, Envaya <web@envaya.org>:
February 13, 2015
David Kaganda (via email) said:
kaka. email ambazo mimi nazitumia ni 2 tu yanid.kaganda@yahoo.com pamoja na malijamiitz14@gmail.com
nacheck hapa zote siioni email ya fomu. 
February 13, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
USIJALI KAKA KUNAJAMAA AMEDAI TULISCAN FONT KUBWA KWA HIYO TUTATUMA
TENA .WIKI IJAYO .SAMAHANI KWA USUMBUFU,TUSAMEHE

2015-02-13 5:16 GMT -08:00, Envaya <web@envaya.org>:
February 20, 2015
David Kaganda (via email) said:
usijali. nyie tu jipangeni vema.
February 20, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
ASANTE KWA UVUMILIVU WAKO
February 21, 2015
Godfather alfayo (Ndungu Ward at Same District) said:
  • mimi ni mwalimu wa mazingira jitengeni secondary school iliyoko Same. nahitaji kuwa na active club ya malihai ili tuweze kutunza mazingira yanayotuzunguka. pia napenda sana kutumia elimu yangu ya uhifadhi wa viumbe na wanyama (wildlife management) pamoja nanyi ili kupanua wigo wa uhifadhi katika mazingira yanayotuzunguka. je nita fanyeje ili kufanikiwa? hgeofrey@yahoo.com. phone No 0712717713
March 21, 2015 (edited March 21, 2015)
JOSEPH MALULU (via email) said:
HONGERA SANA MWL.KWA KAZI YAKO YA UTUNZAJI MAZINGIRA.JE UMESAJILIWA NA
MALIHAI CLUB?

Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
March 24, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
HONGERA SANA MWL.KWA KAZI YAKO YA UTUNZAJI MAZINGIRA.JE UMESAJILIWA NA
MALIHAI CLUB?

Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
March 24, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
HONGERA SANA MWL.KWA KAZI YAKO YA UTUNZAJI MAZINGIRA.JE UMESAJILIWA NA
MALIHAI CLUB?

Tarehe 20/03/2015, Envaya <web@envaya.org> aliandika:
March 24, 2015
HASSAN GEOFREY (via email) said:
ndio shule hii imesajiliwa na malihai club na me ni katibu wa malihai club katika shule hii
March 26, 2015
HASSAN GEOFREY (via email) said:
March 26, 2015
David Kaganda (via email) said:
sawa mwalimu geofrey.. labda mawazo yako makuu ni nini.? Nnachoweza kukwambia ni kuwa. Jaribu kuwa mbunifu na jitolee kwa kazi mbalimbali za kijamii, ila kwa kila jambo ulifanyalo jaribu kuweka kumbukumbu kwa picha na hakikisha unatuma picha zako kwetu ili kuweza kutambua u active wako. hii itakusaidia kukuweka kinara na kukupa nafasi yeyote nzuri itakayotokea mfano, kimasomo zaidi au zawadi mbalimbali mpaka cheo.
March 26, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
KAKA POLE NA MAJUKUMU YA KILASIKU, SAMAHAN HUJATUTUMIA NAMBA YA OFISI
YA MALIHAI CLUB MKOA MBEYA .ASANTE
April 21, 2015
HASSAN GEOFREY (via email) said:
kaka samahani me niko kilimanjaro same nilijua ii club inafanya kazi mikoa yote.ahsante
April 23, 2015
HASSAN GEOFREY (via email) said:
nakushukuru kaka kwa ushauri mzuri
April 23, 2015
Deogratius kivamba (iringa-mufindi) said:
mimi ni mwalimu wa idetero sekondari iliyopo mufindi pia nina cheti cha malihai nilicho pewa wakati nahitimu chuo kwaajili ya utunzaji wa mazingira pia ni mwalimu wa mazingira idetero sekondari,naitaji mawasiliano nanyi ya karibu sn ili kupewa majarida ya utunzaji wa mazingira na pia kutoa elimu ya kutosha jinsi ya utunzaji wa mazingira kwa wanafunzi ili wajue kwani nahamini mbinu za utunzaji hubadilika na huboreshwa kila siku.je nitawezaje kupata mawasiliano nanyi kwa ajiri ya kuwaomba mtutembele na pia mtupe ujuzi zaidi wa kutunza mazingira
April 24, 2015
Deogratius kivamba (iringa-mufindi) said:
namba yangu ya simu ni 0769711767
April 24, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
ASANTE KWA NAMBA YAKO TUTAWASILIANA
April 27, 2015
ADOLPH LUCAS R, (DAR ES SALAAM) said:
Pamoja nashahuku yakutaka kujua maendeleo ya Malihai opochuoni STEMMUCO,lakini hasa nataka kujua kama miti mawe na bismark rock, majani ya uwanjani,yanatunzwa?
April 29, 2015
David Kaganda (via email) said:
ok ila mimi nipo smmuco na sio stemmuco.. na kwa maendeleo ya club yetu ya stefano moshi memorial university college, please visit in our page in facebook iitwayo, MALIJAMII MALIHAI YOUTH CLUB... Wish you all the best.
April 30, 2015
deo kivamba (via email) said:
sawa kiongozi
May 5, 2015
cletus mbala (Tanga) said:
je naweza kutuma ripot yangu ya utendaji na shughuli ninazozifanya za utunzaji na uhifadhi wa mazingira kupitia email?
May 27, 2015
David Kaganda (via email) said:
ndio waweza kutuma na ni nafasi nzuri sana kwako kujitamblisha kiutendaji
May 28, 2015
JOSEPH MALULU (via email) said:
ASUBUHI NJEMA MPENDWA

2015-05-28 3:00 GMT -07:00, Envaya <web@envaya.org>:
May 31, 2015
Deodatus Mbata (Makambako/Njombe) said:
Habari za kazi ..... mimi ni mhitimu wa shahada ya usimamizi wa Mazingira pia ni muandishi wa makala zinazohusu mazingira je naweza pata nafasi katika jarida lenu ili niwe mchangiaji wa maada mbalimbali.? Namba yngu ya simu ni 0752 47 47 54.
March 30, 2017
Deodatus Mbata (Makambako/Njombe) said:
Habari za kazi ..... mimi ni mhitimu wa shahada ya usimamizi wa Mazingira pia ni muandishi wa makala zinazohusu mazingira je naweza pata nafasi katika jarida lenu ili niwe mchangiaji wa maada mbalimbali.? Namba yngu ya simu ni 0752 47 47 54.
March 30, 2017
Deodatus Mbata (Makambako/Njombe) said:
Habari za kazi ..... mimi ni mhitimu wa shahada ya usimamizi wa Mazingira pia ni muandishi wa makala zinazohusu mazingira je naweza pata nafasi katika jarida lenu ili niwe mchangiaji wa maada mbalimbali.? Namba yngu ya simu ni 0752 47 47 54.
March 30, 2017
Anthony Living (via email) said:
Karibu sana ndugu,nafurahi kukufaham
--
Sent from myMail for Android Friday, 31 March 2017, 01:32AM +03:00 from Envaya web@envaya.org :
April 9, 2017
Dismas lyimo (Same) said:
Mimi ni mwl. Shule ya secondary vudee..same napenda sana kutunza mazinvira na uoto wa asili ila sijajiunga na malihai club je ndugu najiungaje? Anayefahamu awasiliane nami kwa 0753386887
July 27, 2018
msami bm (lushoto,tanga) said:
Mimi ni mwalimu wa mazumbai s.s, nahitaji kuanzisha kikundi cha malihai shuleni, naomba maelekezo
October 3, 2018
FRANK MTUNDU (MALINYI -MOROGORO) said:
TUPANDE MITI SANA WADAU
February 28, 2019
Andrea wilson (Songea urban) said:
Jamani hongereni sana kwa kazi nzuri ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira.
August 17, 2020

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.