Envaya

Wanakikundi wa malihai waliohitimu shahada katika chuo cha STEMMUCO (Stella Maris Mtwara University College) walikabidhiwa vyeti vya Malihai kama uthibitisho wa ushiriki wao na utambuzi wa mchango wao katika shughuli mbalimbali za kimazingira mkoani Mtwara.

8 Desemba, 2012
Ifuatayo »

Maoni (3)

motto sayi (STEMMUCO-mtwara) alisema:

Wanamalihai STEMMUCO,Tunaomba wanachama wapya wa malihai mwaka wa 1,2,3 na masters waweze kujiunga na malihai ili tuweze kujumuika pamoja ktk mazngira

5 Novemba, 2013 (ilihaririwa 5 Novemba, 2013)
motto (STEMMUCO,MTWARA) alisema:
MAZINGIRA ni uhai wetu sisi na vizazi vijavyo,yapasa tuwe na moyo wa kujitoa kuyahudumia
15 Novemba, 2013
Tunapoadhimisha leo na kuwashangilia wanamalihai wahitimu wa mwaka 2013 Digrii.Uongozi wa malihai STEMMUCO. unawatakia mahafali mema tukikumbuka kupanda miti as we know it today
5 Desemba, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.