Envaya

Kusaidia jamii ya Mkoa wa Mtwara katika Mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI, Kuleta mabadiliko ya tabia katika jamii katika kupunguza/kutokomeza ugonjwa wa malaria, kutunza na kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu na wajane; na kutoa elimu kwa jamii.

Mabadiliko Mapya
SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UKIMWI MKOA WA MTWARA imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
MASASI, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu