Envaya

SAIDIA JAMII KUISHI

Msangamkuu, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KUPAMBANA NA KUPUNGUZA UMASKINI KATIKA JAMII KWA KUIWEZESHA JAMII KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO ILI KUJILETEA MAENDELEA KWA KASI.

Latest Updates
SAIDIA JAMII KUISHI has a new message in the discussion BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Hagulwa Msusu: Hivi ukweli upo wapi?hii posho ya wabunge,ni kweli wataacha kupokea? ni kweli itatumika kwa manufaa ya umma?nikweli mjadala huu wa posho ya wabunge utafikia ukingoni kwa muafaka na manufaa ya umma?kazi kwetu wananchi.
June 18, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI has a new message in the discussion BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Hagulwa Msusu: hii hoja ya posho kwa wajumbe ukweli upo wapi,watatuachia walalahoi tutumie kwa manufaa ya umma?au ni kutaka kutuyumbisha wananchi kifikra?
June 18, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI has a new discussion about BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Nashir Pontiya: Hivi ni kweli uchumi wa Tanzania unaendeshwa na Vileo tu? Kwani kila bajeti utaona na kusikia Sigara na Bia juu,inakuwaje hapa?
June 17, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI added MTWARA REGION NGOs NETWORK to its list of Partner Organizations.
June 17, 2011
June 17, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI added The Foundation For Civil Society (FCS) to its list of Partner Organizations.
June 17, 2011
Sectors
Location
Msangamkuu, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations