Envaya

Kuona jamii ya watanzania inaendelea kustaraabika kwa kujua na kudai haki zao,kutimiza wajibu wao,Kuheshimu haki za binadamu, Kulinda,Kuhifadhi na Kutunza Mazingira.

Mabadiliko Mapya
Sakale Development Foundation imeongeza Habari 18.
This Picture were taken at Kwafungo Village, which shows how Children's engaged in Illegal Orange harvesting. WEKEZA PROJECT
2 Februari, 2017
Sakale Development Foundation imehariri ukurasa wa Miradi.
Core business areas of SADEF – SADEF has the following main areas of operation. – (i) Good Governance – This is the major... Soma zaidi
30 Januari, 2017
Sakale Development Foundation imeumba ukurasa wa Miradi.
Core business areas of SADEF – SADEF has the following main areas of operation. – (i) Good Governance – This is the major... Soma zaidi
9 Mei, 2015
Sakale Development Foundation: Nchi/Watu lazima iwe na viongozi, huo ni mpango wa mungu.Hakuna ubishi katika hilo, lakini je yeyote aweza kuwa kiongozi? bila shaka jibu ni hapana, hapa ina maana kwamba kuongoza ni kipaji kama ilivyo kwa vipaji vingine ambavyo mwanadamu hujaliwa na mwenyezi mungu.Katika Tanzania siku hizi... Soma zaidi
24 Novemba, 2012
Sakale Development Foundation imeongeza concern for development initiatives in africa kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
forDIA ni shirika ambalo tumeshirikiana nalo mara nyingi katika kutekeleza shughuli mbalimbali tangu mwaka 2008. shughuli hizo ni pamoja na miradi ifuatayo:- – 1. Utafifi juu ya mtazamo rushwa katika jamii ya Watanzania awamu ya pili – 2.Utafiti juu ya mtazamo rushwa awamu ya tatu ... Soma zaidi
16 Novemba, 2012
Sakale Development Foundation imeongeza Friends of tanzania [FOT] kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
Friends of Tanzania ni Shirika la hiari kutoka Marekani, limekuwa likitupatia ufadhili tangu mwaka 2008
12 Novemba, 2012
Sekta
Sehemu
Muheza, Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu