Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi.
6 Februari, 2013 ![]() | BARAKA GOODHOPE ORPHAN'S DEVELOPMENT - Baraka Goodhope Orphan's Development (BAGODE) yenye makao makuu Mwanza Tanzania, linatangaza nafasi za volunteer kwa wale wenye taaluma na wanaohitaji kujitolea kutoka ndani na nje ya Tanzania. – Sifa za mwombaji – Mwombaji awe na fani ya elimu ya jamii pia mwombaji awe na uwezo wa... Soma zaidi |
4 Februari, 2013 | Human Rights for Social Develpoment - The organisation have no posts for volunteer. |
24 Januari, 2013 | PEOPLES ORGANIZATION TRANSPARENCY AGENCY (POTA) - The organization has a policy for foreingn and local volunters, we require a number of volunteers in many fields like human rights in child, women,disabled people,elders, invironment, and democracy as far as good governance. – we prefarably like volunteers supported by relative organization, we are ready to arrange for pro... Soma zaidi |
21 Januari, 2013 ![]() | BOZA SECONDARY AND VOCATIONAL SCHOOL - SHULE INAHITAJI VOLUNTEER WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI, HISABATI PAMOJA NA ENGLISH. – SHULE ITATAFUTA MAHALI PA KULALA PA BEI NAFUU. |
11 Januari, 2013 ![]() | Tumaini Women Development Association - An NGO of Tumaini Women Development Association (TUWODEA) allocated Aat Kemondo Bukoba district council is announcing to seek for volunteers for specific days in the position of project proposal writting. – Position description – 1. Aged 20 and above – 2. Educated to form six and above – 3.... Soma zaidi |
9 Januari, 2013 ![]() | RWANDAN STUDENTS OF LAW(RSL) - We interest everybody who have any sponsor to our action either ideas or other sponsor which can aid us for achieving our mission – We call also anyone or any organization which can provide the partnerships,fund, support, or work with us,as well as networks of organizations where they... Soma zaidi |
5 Januari, 2013 | LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP - Organization inakaribisha wadu wenye mapenzi meme katika utunzaji wa mazingira kuungana nasi kuhakikisha kuwa mji wa Turianai na vitongoji vyake vinanawiri kwa kuwa na uoto mzuri na kurejesha baioanwai zilizopotea kutokana na shughuli za kila siku za binadamu. |
30 Desemba, 2012 ![]() | national network of Tanzania women with HIV/AIDS (NETWO) - ANATAKIWA MRATIBU AU MENEJA AMBAYE ANAUJUZI WA KUANDIKA MICHANGANUO KWA MIRADI INAYOHUSU WANAWAKE, ILI KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE WANACHAMA, HAPA JIJINI DAR ES SALAAM |
30 Desemba, 2012 | TANZANIA YOUTH SURVIVAL - -our organization requires volunteeers in the fields of HIV/AIDS programmes to youth,ICT trainings to youth and Enteprenuership trainings to youth. – -Skills required-Diploma or First Degree in the related fields. – Location:MWANZA -TANZANIA. – Days to work:June -Sep 2013. – Contact Person ... Soma zaidi |
24 Desemba, 2012 | Sustainable Investments and Development Initiatives - South-North Volunteerism Program Exchange: – It is a mission seek to bring social skills and experience in Tanzania voluntary to reduce social inequality between South and North hemisphere through volunteerism approaches by developing and supporting technical skills and... Soma zaidi |