Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

 

UCHIMBAJI WA VISIMA VYA MKONO NA MASHINE

Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO.

Kutoka Asasi ya PDPR Njombe,

Gharama za mradi:
kuchimba laki 5, kama kipo ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000

ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 6 zote zikiwa complete pamoja na instalation.

Kisima kinauwezo Wa kutoa Zaidi ya Lita 7000 kwa siku. Unaweza tumia Maji kwa mahitaji ya

 nyumbani, Kilimo cha umwagiliaji, na mifug

Kwa maelezo zaidi piga simu 0754397178 au 0652556833

20 Julai, 2016
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (31)

Ole Philemon (Dar es salaam) alisema:
mmmh wakuu hanbari za muda huu nipo kibiti naomba mchanganuonwa gaharama zote za kuchimba kisima cha urefu wa 60m kwa ajili ya umwagiliaji
2 Agosti, 2016
Joseph Charles (Lindi, Tanzania) alisema:
Ahsante coz mnatufungulia dunia kuwa tunachotaka..
Bado napitia hii website na kuchambua fursa ipi nianze nayo
Nnashida na softcopy ya elinu ya, kilimo na ufugaji naipataje??
Mimi ni mwalimu wa sekondary pia najihususha na kilimo na ujasiria mali. Nimeona zile mashine mnazounda nimevutiwa sana..
4 Agosti, 2016
Salum Makombe (Iringa Municipal) alisema:
Habari, nahitaji machine ya kutengeneza mkaa ,je nikinunua na mafunzo ya uetengenezaji wa mkaa nitapata, inacost sh ngapi. Kuhusu kisima gharama hiyo inajumuisha na water survey?
8 Agosti, 2016
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (via email) alisema:
Unaweza kupiga simu 0652556833 ukahudumiwa.
9 Agosti, 2016
Denis Vagela (Dodoma) alisema:
Mimi nipo Dodoma nahitaji huduma ya kuchimba kisima je nitasaidiwaje?
11 Agosti, 2016
[maoni yamefutwa]
[maoni yamefutwa]
[maoni yamefutwa]
[maoni yamefutwa]
Mercy Gideon (Dar es salaam) alisema:
Mimi niko dar jee naweza kupata huduma ya kuchimbiwa kisima?
15 Agosti, 2016
Jasmine (Dar es Salaam) alisema:
Nimeona hii taarifa na nimeipenda sana kwa kuwa nahitaji huduma ya kisima eneo la Magoza Mkuranga. Sasa nyie mpo Njombe jee gharama itabaki kuwa hiyo hiyo au itabadilika kwa sababu ya umbali pengine na field visit yaan kwenda kukagua eneo
23 Agosti, 2016
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (via email) alisema:
Piga simu 0652556833 itakuwa hiyo hiyo
25 Agosti, 2016
mbengwa senzota (same Kilimanjaro) alisema:
shamba LA miti LA miaka minne kwasasa mnauzaje?au bei ni ileile ninayoiona hapa Kwa website yenu?
17 Desemba, 2016
Nimrod Mpaligwa (Kasulu-Kigoma) alisema:
Nimependa sana na nina shida na Kisima kwa ajili ya Kilimo, lakini pia ninashida na pamp za maji zinazotumia sola kwa ajili ya Kilimo. Naombeni msaada wakuu( 0752847456/0625554108)
25 Januari, 2017
Mpaligwa (Muyama-Buhigwe Kigoma) alisema:
Njooni mfungue tawi uku kwetu jamani ili neema ishuke kwa wakazi wa maeneo haya
25 Januari, 2017
Renhard Edward Mapile (Mbeya) alisema:
Jamani ndugu zangu mambo yenu mazuri tatizo namba zenu hazipatikani...napata wakati mgumu kila nikitaka kuwapigia simu.
29 Januari, 2017
kagome wa kagome (morogoro) alisema:

Mnafanya kazi nzuri ssna. Lkn mbona namba zenu hazipatilani??

6 Februari, 2017 (ilihaririwa 6 Februari, 2017)
Wilbald (Sumbawanga ) alisema:
Nimewapigia ili kupata huduma yenu, simu zenu hazipatikani
Pia kuna watu kadhaa wanahitaji huduma zenu
9 Machi, 2017
Karunde (Dar) alisema:
Wapigie wanapatikana sana 0652556833
29 Machi, 2017
Mercy Gideon (Dar es salaam) alisema:
Jee bado mnatoa hii huduma ya kuchimba visima kwa bei hiyo hiyo hadi sasa ?
25 Septemba, 2017
Mwl Philemon (Chemba) alisema:
kwa Dodoma vijijini mtafanya bei gani? mwenyenyumba.wordpress.com
13 Oktoba, 2017 (ilihaririwa 13 Oktoba, 2017)
(Afahamiki) alisema:
hizi proram za upandaji miti bado zipo mpaka sasa
3 Januari, 2018
LOSIOKI (IRINGA MJINI) alisema:
Asanteni sana kwa kuanzisha asasi itoayo huduma kwa watanzania ,
me niko iringa mjini ,ofisi zenu zpo maeneo gani niwatembelee tuongee uso kwa uso?
8 Januari, 2018 (ilihaririwa 8 Januari, 2018)
george mhamali (mwanza) alisema:
Habarini za jioni! Kwa Mwanza mnaweza kuja kufanya kazi.nahitaji kisima pamoja na pump ya sola.
14 Januari, 2018
TAMIM (CHALINZE) alisema:
Habari za jioni Mimi nipo halmashauri ya chalinze na nahitaji sana huduma hii muhimu,ofisi zenu zipo wapi niwatembelee kwa elimu zaidi?
6 Machi, 2018
Harold (Pandambili, Kongwa) alisema:
Hi comrades
I need a 85m + water well at Pandambili in Dodoma region. What are the costs plus a solar water pump. I have undertaken survey study so I am almost sure about the depth.
3 Aprili, 2018
Manase Mlonganile (Iringa) alisema:
Good news
9 Juni, 2018
alain kisena (kigoma) alisema:
jamani hizi huduma zina hitajika hata kwetu DRC. Niko tayari kuwa sindikiza
14 Agosti, 2018
Salum Sais mangosongo (Magu -mwanza) alisema:
Nataka kujua je kuhusu under ground surveys mnafanya na mnacharge NATO au inakuwa kayika package??
16 Agosti, 2018
Salum Sais mangosongo (Magu -mwanza) alisema:
Naomba kufahamu kuhusu survey katka kuchimba hvyo kisima na mita moja mnachimba kwa sh ngap??
16 Agosti, 2018
Emmanuel Mathayo (Maili-Mbili Mnadani (Miyuji)) alisema:
Niko Dodoma. Nataka kutafiti (survey) uwezekano wa kupata maji kisima kirefu shamba liko Veyula km 15 kutoka Dodoma mjini. Baada ya kupata taarifa za upatikanaji maji kisha kuchimba na kuweka casing solar pump nk. Nipe gharama pamoja na namna ya kukutana nanyi kuianza hii hatua kwa hatua.
30 Agosti, 2018
Fredy (Dodoma) alisema:
Niko dodoma, nnahitaji kuchimba kisima. Kama hautojali nnaomba estimation cost za survey, kuchimba na solar water pump, shamba lipo ntyuka njia ya kwenda mvumi. Dodoma mnapatikana wapi ili tukutane kwaajili ya kazi.
25 Septemba, 2018
Harold Gabriel (Majengo, Kibaigwa) alisema:
Wataalamu salaam. Sijabahatika kuwapata kwa simu yenu ya Tigo. Nilipimiwa kisima eneo langu huko Dodoma wiki tatu zimepita sasa. Kila nikiomba nipewe mchanganuo wa gharama za kuchimba ili nianze kutafuta pesa naona KIMYAAAA. Naomba mjitahidi.
5 Oktoba, 2018
Robinson Richard (Dar es saalam) alisema:
Pole na majukumu mm ni mwanafunzi wa chuon water institute nilikuwa naomba kama ninaweza Fanya field kweny kampuni yenu katka survey asanteni
21 Februari, 2019
Erasto (moshi) alisema:
je mna fika Hadi Moshi
au nimikoa gani mnatoa huduma
15 Agosti, 2019

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.