PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR)
 |
S.L.P 430, Njombe, Simu: 0754397178, 0652556833,
Barua pepe: pdprngo@gmail.com, Tovuti: www.envaya.org/pdpr
Mkurugenzi Mtendaji wa PDPR,
No ya Fomu: ...... ..                                                                               Tarehe: …./…./2016
Â
FOMU YA AWALI YA MAOMBI YA UWAKALA WA CHAKULA:
Maelezo binafsi na mawasiliano:
Jina: ……………………………………………………Umri ……………….Mkazi wa ……………………………………………………………
Simu: ………………………………………………….barua pepe …………………………………sahihi …………………………
Shughuli zako kuu …………………………………………………………………………………………………………………………………. kiwango cha elimu………………………….....................................................................................
Una uzoefu wa ………………………………………………………………………………….. kwa miaka ………………
Unafuga kuku wangapi ……… toka mwaka gani …………………….. ……………………………………..
Upo katika vikundi cha ufugaji au kiuchumi, …………… vitaje ……………………………………. toka …………
Umeoa au kuolewa …………………………………………………………………
Â
Sehemu ya Biashara:
1)     Una uzoefu wa biashara ya chakula cha kuku kwa muda gani? ……….. na wapi …………………..
2)     Ni wakala wa kampuni gani la chakula na umeingia nao mkataba? ……………… …………… ……… wa muda gani ……………….....................................................................................................
3)     Biashara yako imesajiliwa …………………………… kwa jina gani ………………………………………………….. toka mwaka gani ………Inajihushisha na nini …………………………………………………………………………..
4)     Biashara inamilikiwa na nani …………………………………………Ina mtaji wa kiasi gani …………………. Madeni ………………… wadaiwa ………………………………………….
5)     Changamoto za biashara yako ni zipi …………………………………………………………………………………… na umejipangaje kuzitatua …………………………………………………………………………………………………..
6)     Unategemea PDPR ikusaidie nini katika biashara yako ya chakula cha kuku ………………………… ……………………………………………………………………………………………………………………………………………….
7)     Weka annuani ya Biashara na mahari ilipo……………………………………………………………………………..
Â
Sehemu ya Chakula cha PDPR.
1)     Unategemea kuuza mfuko wa chakula wa KG 50 shingapi kama utauziwa na PDPR kwa 29000 ukiwa Njombe …………….. na Tsh: 34000 ukiwa dar ………………….
2)     Wateja walengwa wako ni nani …………………………………………………………………………………………
3)     Kwa mwezi unauwezo wa kuuza mifuko mingapi ………………………………………………………………
4)     Aina ipi ya chakula ina uhitaji mkubwa hapo…………………………………………………………………….
5)     Umepanga kuwekeza kiasi gani cha mtaji katika biashara hii ya PDPR ……………………………..
Â
Sehemu ya ziada:
1)     Una miliki chombo cha usafiri kitaje ……………………….. na kitatumika na biashara …………………
2)     Una chumba cha duka (Fremu) …………… kama huna utauzaje ………………………………………..
3)     Duka au chakula utauza wewe?…………. Kama kuna msaidizi mtaje ……………………………………. Na ana uzoefu gani ……………………………………………………………………………………………………………………..
4)     Chakula cha Kampuni gani kinanunuliwa kwa wingi katika eneo lako ……………………………….. kinauzwa shingapi ………… na unahisi kwanini kina soko kubwa ………………………………………………….
5)     Utatumia mbinu gani kukiingiza sokoni chakula cha PDPR …………………………………………………… ..........……………………………………………………………………………………………………………………………………………………
6)     Unapenda kuishauri nini Asasi ya PDPR katika mradi wa chakula cha kuku…………………… …… …………………………………………………………………………………………………………………………………………………..…........
…………………………………………………………………………………………………………………………………………………….........
Â
KWA MATUMIZI YA OFISI TU:
Imepokelewa na ……………………………………………….. kwa niaba ya PDPR sahihi……………………………………
Cheo ……………………. Tarehe …………………….
Maelezo ………………………………………………………………………………. ………………………… ……………… ... ……… …………………………………….………………………………………………………………………………………….…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………............
Â
Zingatia:
Â
Majibu Utakayo yajibu katika fomu hii yatasaidia kukufanya uweze kuendelea au laa na hatua za mbele za kujaza fomu nyingine na kisha kuingia mkataba wa kusambaza chakula cha PDPR.
Â
Â
Â
Â
Â
NAFASI ZA KAZI KWA MAAFISAÂ MASOKO
MAAFISA MASOKO WAANDAMIZI 70 NA MAAFISA MASOKO 200 WANAHITAJIKA Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) inayojihusisha na kutoa huduma za jamii, mafunzo, ushauri, ufugaji wa kuku, samaki na nyuki inazo nafasi za kazi kama ifuatavyo;
Maafisa masoko waandamizi 70.
Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction inataka kuajiri Maafisa masoko waandamizi wenye ujuzi na wachapakazi. Bidhaa zinazouzwa na huduma zinazotolewa na kampuni ni pamoja na mashine za kutotolea vifaranga vya kuku, mizinga ya nyuki, vifaranga, miche ya matunda na mbao, Ushauri wa biashara, semina za ujasiriamali, kuandaa michanganuo,fursa za kilimo biashara na ufugaji wa kuku, samaki, nyuki, sungura, na mikopo ya mashine na vifaa vingine.
Kazi zake;
1.Kuandaa mikakati ya mauzo na malengo ya mauzo kwa kampuni
2. Kutafuta masoko na kuuza bidhaa za kampuni
3. Kutangaza bidhaa za kampuni na kutafuta wateja.
3. Kusimamia na kuongoza maafisa masoko walio chini yake.
4. Kuandaa semina.
Sifa za muombaji;
Awe na shahada ya Biashara mchepuo wowote.
Siyo lazima kuwa na uzoefu kazini lakini akiwa na uzoefu wa kufanya kazi hizi kwa muda wa kuanzia mwaka mmoja na zaidi atafaa zaidi.
Mshahara;
Mwombaji atakayepata ajira atalipwa asilimia 20% ya mauzo atakayofanya kwa mwezi.
Maafisa masoko 200.
Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction inataka kuajiri Maafisa masoko wenye ujuzi na wachapakazi. Bidhaa zinazouzwa na huduma zinazotolewa na kampuni ni pamoja na mashine za kutotolea vifaranga vya kuku, mizinga ya nyuki, vifaranga, miche ya matunda na mbao, Ushauri wa biashara, semina za ujasiriamali, kuandaa michanganuo,fursa za kilimo biashara na ufugaji wa kuku, samaki, nyuki, sungura, na mikopo ya mashine na vifaa vingine.
Kazi zake;
1. Kutafuta masoko na kuuza bidhaa za kampuni
2. Kutangaza bidhaa za kampuni na kutafuta wateja.
3. Kuandaa semina
Sifa za muombaji;
Awe na elimu ya Kidato cha nne na kuendelea, mwenye kujituma ambaye anaweza kuuza .
Akiwa na cheti au shahada ya Biashara mchepuo wa masoko atatufaa zaidi.
Siyo lazima awe na uzoefu katika kazi lakini kama ana uzoefu wa kufanya kazi katika makampuni ya usambazaji wa bidhaa atatufaa zaidi.
Mshahara;
Mwombaji atakayepata ajira atalipwa asilimia 15% ya mauzo atakayofanya kwa mwezi.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0754397178 au tuma maombi kwa email; pdprngo@gmail.com
IMMA SALINGWA
MKURUGENZI MTENDAJI PDPR Njombe. www.envaya.org/pdpr
HIZI NI BAADHI YA MASHINE ZENYE UFANISI WA HARI YA JUU TOKA PDPR
zenye uwezo wa mayai 50 hadi 4000 zinazotumia umeme na mafuta ya taa na ni semi automatic.
Shamba la kupanda miti ya mbao linauzwa na miche ya matunda mbali mbali na mbao inauzwa
Shamba la ekari mia nne (400) linauzwa kila ekari TSH: (70,000) Elfu sabini tu naunaweza ukanunua ekari chache, lipo Njombe linafaa kwa kilimo cha matunda ya maparachichi, embe, nanasi, miti ya mbao ya aina zote, kilimo cha mahindi, viazi, nyanya, ufugaji wa kuku, ng'ombe NK.
Lipo karibu na barabara kwa mawasiliano piga 0754397178, 0652556833
Pia tunauza mbao, mahindi, na miti ya nguzo za umeme na kwa kwa uhitaji wa shamba/ kiwanja eneo lolote tutafute.
Pia tunauza miche ya matunda mbali mbali, miche ya miti ya mbao mbali mbali na tunatoa ushauri wa uendeshaji wa mirad ya ufugaji kuku, samaki, nyuki, na kilimo cha miti na mboga mboga.
tembelea PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR): MITI YA MBAO KUKU NYUK
KAMBI YA MAFUNZO YA UFUGAJI NA KILIMO YA UKOMBOZI
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR).
S.L.P 430, Njombe. Simu: 0754397178, 0652556833,
Barua pepe: pdprngo@gmil.com,Tovuti:www.pdprngo.blogspot.com
Mkurugeenzi Mtendaji wa PDPR,
S.L.P. 430, Itunduma, Njombe.
P/FM/QIZ/4662 . . .
Tarehe: 02/03/2015
KAMBI YA MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI, SAMAKI, KUKU NA KILIMO MBALI MBALI
Asasi ya PDPR huendesha kambi ya mafunzo katika kituo chake cha maendeleo ya biashara na kilimo (PDPR Agriculture and Business Development center) kwa siku 3 kila baada ya miezi mitatu ambayo imekuwa baraka kwa wengi na kupata majibu ya maisha yao ya kila nyanja hasa kiuchumi baada tu ya kukutana na Ndugu: Imma Philipo Salingwa mwanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa PDPR ambaye anavipaji vingi vya ajabu na anashauku kubwa ya kukuona na wewe ukifanikiwa kama yeye.
Kambi huendeshwa kwa kutoa mafunzo ya uelewa na kujitambua “mindset’, stadi za maisha, ujasiriamali, biashara, uwekezaji, utunzaji kumbukumbu na hesabu za miradi, kilimo cha mahindi, viazi, nyanya, pilipili hoho, mananasi, ndizi, maparachichi na ufugaji wa kuku, nyuki, samaki na nguruwe na uandishi wa mchanganuo wa mradi (business plan).
Washiriki watachukua fomu kwa TSH: 10,000 na watalipa TSH: 60,000 kabla ya siku 10 za mafunzo na watapata chakula, malazi, mafunzo na vitabu vyote kwa gharama hiyo hapo na watendelea kupewa ushauri na kusaidiwa kuanzisha miradi yao na PDPR itanunua kwa bei nzuri bidhaa zao na kuuza njee ya nchii a watakuwa na uhuu wa kuuza kokote watakapo penda kw bei yoyote.
Washiriki watapewa kipaumbele wakati wa ununuzi wa bidhaa zetu kwa kupewa punguzo la bei kwani tunategemea watakuwa wagavi wetu wa bidhaa wa kuaminika.
Mafunzo yatatolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa PDPR pamoja na timu yake ya ndani ya nchi na njee ya nchi kama ikiwezekaa.
Washiriki wataweza kujikusanya kama kikundi hukohuko waliko na kuwasiliana na ofisi yetu itaweza kumtuma mtoa mafunzo na wakahudumiwa vizuri kabisa ili kupunguza ghaama za usafiri.
Kwa maelezo zaidi juu ya uchukuaji wa fomu, mafunzo, piga 0754397178, 0652556833 popote nchini.
Kambi itafanyika tarehe 3 haadi 5 mwezi wa nne.
Asasi ya PDPR imezindua mradi wake wa kutoa mikopo na kuuza vifaa vya ufugaji kuku na kilimo kama Vitotozi vya mayai, Mizinga ya Nyuki, Vifaranga vya kuku, samaki, kware, Biogas plant, Mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, ufugaji, kilimo na kuuza vitabu mbali mbali kwa TSH: 2000/= tu Piga 0754397178 au 0652556833kwa maelezo zaidi. pia wanatafuta mawakala wa bidhaa zao.
iNi wakati wa kutimiza ndoto yako ya kuwa mjasiriamali wa jamii (Social enterprenur) kwa kuungana na PDPR na kujaza fomu hiyo hapo sasa, na kuanza kuhama toka hatua moja kwenda nyingine.FOMU_YA_AJIRA.doc
WATER IS PROBREM IN MOST OF VILLAGES IN Tanzania.
PDPR is invite you to provide a gift of water well in rural areas of Tanzania to ensure the women and children serve time and get enough time to engage in economic activities and to rise the living standard of families. Some people move more than 20 Km to look water and is not safe couse epidemic disease. PDPR developed new mashine for lifting water from downward. each well cost US$ 600 donate any thing you have in this unique project.
Â