Envaya

Lengo ni kupambana TB na UKIMWI Tunatoa elimu kuhusu ugonjwa wa TB na UKIMWI Tunasimamia wagonja wa TB Kumeza dawa za TB Majumbani(DOT) Tunatafuta wagonjwa wapya TB Kwa kuwashauri kupima TB na UKIMWI

Mabadiliko Mapya
Mapambano Zidi ya TB na Ukimwi imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Nanyumbu, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu