Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Ndg. Hassan Luheko Mnaute, mratibu wa mradi wa kuwajengea uwezo wananchi kuhusu Sheria Na. 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999, kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS), mradi wenye thamani ya Tshs. 51,990,000/=

October 24, 2016
« Previous Next »

Comments (2)

Hassan Luheko Mnaute (Kijiji cha Chaume, Tandahimba - Mtwara, Tanzania.) said:
Japo Asasi nyingi za kiraia kwa sasa, kiasi hazina rasijimali fedha ya kutosha, kwa kukosa vyanzo vya mapato, kutokana na kutegemea ada na michango ya wanachama wake. Kutegemea ruzuku tu kutoka kwa wafadhili, imekuwa tatizo linalosababisha Asasi nyingi kushindwa kuyafikia malengo yaliyopangwa. Ombi langu kwa Asasi za kiraia, tuwe miradi ya kiuzajishaji Assi zimudu kutekeleza malengo yke.
October 26, 2018
Hassan Luheko Mnaute. (Chaume, Tandahimba - Mtwara, Tanzania.) said:
Kinachofurahisha ni kuona kuwa, bado wafadhili huwa wanaendelea kutoa ruzuku. Lakini asasi nyingi kumebaki majina tu, lakini kutekeleza shughuli mbalimbali kulingana na mpango kazi. Tatizo ni tegemezi kwa kuomba ruzuku tu. Kushindwa kuwa na mikakati thabiti ya kiuzalishaji kwa ajili ya kumudu kuhudumia watumishi wake na mahitaji mengine ya kiasasi.
March 28, 2020

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.