Envaya

UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA

Wilaya ya Mtwara, Tanzania

KUELIMISHA JAMII HASA VIJANA KUACHA TABIA HATARISHI KAMA VILE NGONO ZEMBE,KUKAA VIJIWENI MADAWA YA KULEVYA ILI KILA KIJANA AFANYE KAZI, USAFI WA MAZINGIRA, MIRADI MIDOGOMIDOGO.

Mabadiliko Mapya
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA imeongeza Habari.
SHIRIKA LINATARAJIA KUFANYA KIKAO CHA WADAU WA MAZINGIRATAREHE 30/05/2011 KATIKA JENGO LA OFISI KUANZIA SAA 8.00 -12.00 JIONI . – TUNAWAOMBA WOTE MHUDHURIE BILA KUKOSA – WOTE MNAKARIBISWA KUCHANGIA MAONI MBALIMBALI ILI TUWEZE KUFANIKISHA MALENGO YETU.
18 Mei, 2011
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA imejiunga na Envaya.
18 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu