Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tunakaribisha wadau mbalimbali katika Shirika letu la Nyedaco kwa ushauri na kusaidia jamii ya kusini iliyo katika hatua za awali kabisa za maendeleo. Tunaomba asasi mashirika na wadau wengine wanaotaraji kufanya kazi Wilaya ya Lindi milango iko wazi kwenu
August 29, 2011