
Baadhi ya Viongozi wa Vitongoji na Halmashauri ya Kijiji waliokuja na Wanawake wakisoma Vitini vya Mafunzo ya miso.

Baadhi ya Wanawake wauza dawa za Binadamu na Wakunga wa Jadi wakifuatilia maelezo ya hatuza za Kumsaidia mama aliyejifungua kutumia dawa za misoprostol.

Washiriki wa semina wakisoma Vipeperushi vyenye Taarifa za misoprostol.Walifurahi na kuahidi kuwa mabarozi wa kusambaza Taarifa za Miso-Kasulu vijijini.

Wa kwanza katika Picha ,Kushoto ni Bi Mwajabu Kigaza Mwandishi wa Habari,Gazeti za Majira kigoma akifuatilia mafunzo

Mwaakilishi wa DMO na Afisa Tabibu wa Kituo cha Afya Nyakitonto wakisoma Vipeperushi na Vitini Vyenye Taarifa sahihi za Misoprostol.

Bi Sofia Nassibu akitoa mada juu ya Matumizi sahihi ya Misoprostol na Upatikanaji wa Dawa hizo katika Wilaya ya Kasulu.

Wa kwanza katika picha ni BI Petronia kayago mwakilishi wa DMO-Wilaya ya Kasulu.

Wakunga wa jadi Wakisikiliza mafunzo yanayotolewa na Mwezeshaji.Bi Sofia Nasibu kutoka KIWODE.

Wa pili katika picha ni Joel m Ruvulula-VEO Nyakitonto.Akisikiliza kwa makini Jinsi das anavyosisitiza juu ya Kufanyia kazi Taarifa sahihi za Misoprotol.Wa kwanza ni Mwenyekiti wa kitongoji kutoka Mugombe.

Ndugu,Simon m.Nhumbi akifungua semina ya Matumizi sahihi ya misoprostol-Tarehe 04/07/2012.IRC-Nyakitonto,Kasulu.