Envaya

Ijue N.V.R.F.

Peter Kiangi (Dar es salaam)
24 Oktoba, 2011 09:26 EAT

Mdau NVRF ni Azaki ya kiraia inayopenda kuona mabadiliko ya tafa letu la Tanzania. Karibuni wadau Mabibo Mpakani muone kazi zetu tunazozifanya. mwenye mapenzi mema na watanzania wenzake mnakaribishwa Kufanya na sisi kwenye nyanja ya Elimu, mazingira, Afya na Michezo.

msangani development organization (kibaha)
7 Novemba, 2011 02:31 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:07 EAT)

Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.