Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI Tz

Charles kiwesi (Dar es salaam)
April 28, 2012 at 12:32 PM EAT
Baraza jipya la mawazir tz litakuaje?ingawa itabiriwa kua laweza kuundwa na vijana kwa asilimia 70 lakn ofu yangu mimi kama mtanzania ni pale baraza hilo jipya litakapo shindwa kuwajibika jaman serikal ya chama cha mapinduzi(CCM)ndiyo itakua imefikia ukingoni kwani ni dhairi kabisa kua wananch wa tz wameshachoshwa na ufisadi kama sio wizi unaofanywa na vigogo au kwa lugha ya kificho kidogo wenye magamba jamani tumuombe Raisi kikwete aweze kusuka mawaziri wenye moyo na sio wenye meno
AGENCY FOR BETTER HOPE AND SOCIAL UNITY[ABHASU]
April 30, 2012 at 1:50 PM EAT

Brother Charles.

Tatizo si mawaziri wala CCM, tatizo ni kupotea kwa uzalendo na maadili ya Taifa.

Sisi sote kwa pamoja ni lazima tuangalie wapi tulipo angukia siyo wapi tulipo jikwaa. Wajibu wetu kama taifa ni kuhakikisha tunaukataa ukoloni wa watu weusi na kuyakataa mabaki ya ukoloni wa wazungu katika vichwa vyetu. Kwa pamoja tunaweza, timiza wajibu wako.

Dr Cliifford Majan

ABHASU.MBEYA.

Nvrf tanzania (via email)
April 30, 2012 at 2:06 PM EAT
Watanzania wote

Tuelewe kitu kimoja ufumbuzi sio kubadilisha mawaziri kwani watakao badilishwa ni wale wale baada tu ya kubadilisha wafuatwe na mali zao zote ziporwe zirudishwe serikalini kwani mtu kama Ngeleja ukisimamisha leo unajisumbua bure ana vitega uchumi kibao tuangalie mbele zaidi hata wapinzani hawakuwa waadilifu mfano ni Dogo Zotto gari la Thamani kubwa kama Hummer amelinunua kwa fedha gani mshahara wa ubunge au????????????? swali kubwa sasa suluhisho hapa ni katiba Mpya tu basi. NA KWENYE KATIBA NAOMBA JAMBO HILI LIWEKWE KWAMBA MBUNGE AKIPEWA JIMBO AKATOA AHADI ASIPOZITIMIZA BAADA TU YA MUDA WAKE KWISHA ANAPORWA ALICHO VUNA KIPINDI CHA UBUNGE WAKE.



By
Peter kiangi

Add New Message (Hide)

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.