KUWAJENGEA UWEZO
Mabadiliko Mapya
NURU KWA WOTE imeumba ukurasa wa Miradi.
Kuamasisha vijana kufanya kazi kwa bidii Kufadhili vijana ambao awana taarumu yoyote kuwaunganisha na vyuo Kufundisha jamii jinsi ya kutunza mazingira Kufundisha jamii jinsi ya kujikwamua kutumia mikopo kufundisha na kuamasisha jamii kilimo ufugaji kutatua migogoro mbalimbali
15 Februari, 2015
NURU KWA WOTE imeumba ukurasa wa Historia.
tumeanza mwaka 2009 kama vijana wa jinsia zote bukoba mjini tukiamasisha kufanya kazi kwa bidii na upendo mpaka sasa tuna shamba la miti eka 10 mashamba 2 ya mboga za majani bukoba vijijini na kushawishi vikundi takirbani kumi kufanya kazi kwa bidii na kujisajili kwenye alimashauli zake
15 Februari, 2015
NURU KWA WOTE imejiunga na Envaya.
15 Februari, 2015
Sekta
Sehemu
KAGERA, Kagera, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu