Parts of this page are in Swahili. View in English · Edit translations
KUIPA JAMII NGUVU YA KUWA NA HAKI SAWA KATIKA KUPANGA MAAMUZI,KUHAKIKISHA JAMII INAPATA ELIMU YA AFYA NA KUWA NA AFYA BORA,USAFI WA MAZINGIRA NA KUJITAMBUA
Latest Updates
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
NGOME imefungua tawi jingine la klabu ya wanafunzi kama zilivyo klabu zingine za NGOME katika shule za sekondari ya Mikindani na Mitengo. Klabu hiyo ya NGOME imefunguliwa katika shule ya sekondari NDUMBWE Mtwara vijijini. Klabu hizi ni kwaajili ya Elimu ya Afya ya Uzazi na Stadi za Maisha kwa wanafunzi wa sekondari, ambao... Read more
July 23, 2011

HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
Elimu ya Ukimwi na Jinsia katika shule za Sekondari, hapa mtaalam wa Afya akitoa Elimu hiyo kwa wanafunzi wa sekondari ya Mitengo Mtwara Mjini
June 16, 2011
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA has a new discussion about Shida wanazozipata wanafunzi wa Mtwara Mikindani na Mtwara vijijini kwenda na kurudi shuleni..
Deo Makoti: Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote.
May 30, 2011
HUDUMA YA AFYA YA JAMII MTWARA added a News update.
NGOME inafanya Utafiti wa Matatizo yanayofanya kuwe na Ndoa zinazovunjika mara kwa mara katika kata za Ufukoni na Mpapura ili kupanga mbinu mbadala ya kutatua tatizo hili linalopelekea maambukizi ya UKIMWI kuzidi kuenea kwa kasi kubwa pamoja na watoto wa Mitaani.
May 26, 2011
Sectors
Location
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations