Envaya

wanawake kumiliki ardhi

Mwajuma K. Nambole (Mweka Hazina)
14 Juni, 2011 13:17 EAT

kwaville wanawake ni wazalishaji wakuu wanaouwezo wa kumiliki ardhi lakinii kutokana na mila desturi inayotuzunguka au mfumo dume inaomkandamiza mwamke kutomiliki ardhi, je kutokana na kuwepo na uwezo na uelewa unaofanana kati ya mwanamke na mwanamme kunasababu yeyote ya kumnyima mwanamke kumiliki ardhi?


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.