Envaya

Newora ni asasi ya kutetea haki za wanawake wilayani Newala . Ilianzishwa mwaka 2006 na kusajiliwa rasmi tarehe 26/3/2007 na kupata hati ya usajili No. So  katika wizara ya mambo ya ndani.