Fungua
MTANDAO WA WANAWAKE VIZIWI TANZANIA (MWAMVITA) TAWI LA KISARAWE PWANI

MTANDAO WA WANAWAKE VIZIWI TANZANIA (MWAMVITA) TAWI LA KISARAWE PWANI

kisarawe, Tanzania

mtandao wa wanawake viziwi huelimisha na kuwawezesha wanawake viziwi kuhusu kufahamu haki zao.

kuhakikisha wanawake viziwi wanapata elimu kuanzia awali mpaka chuo kikuu.

kuwakomboa wanawake viziwe kutokana na umasikini na mfumo dume.

Mabadiliko Mapya
MTANDAO WA WANAWAKE VIZIWI TANZANIA (MWAMVITA) TAWI LA KISARAWE PWANI imejiunga na Envaya.
1 Juni, 2012
Sekta
Sehemu
kisarawe, Pwani, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu