Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
AHANO WOMEN GROUP
Ahano women group ni chama kilichopo chini ya mtandao wa mtangonet ktk mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
Chama cha Kupambana na Maambukizi ya Ukimwi Shuleni
Chama cha kupambana na maambukizi ya ukimwi shuleni ni chama kilichopo katika mtandao wa Mtangonet kwa shughuli za mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA
Chama cha wastaafu na wazee ni chama ambacho kipo chini ya mtandao wa Mtangonet katika mapambano dhidi ya ukimwi wilaya ya Mtwara
Latest Updates
Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara ni Asasi ambayo inashughulika katika Mkoa wa Mtwara ambayo imeazishwa mwaka 1987 na kuandikishwa mwezi Machi, 1998. Wanachama hukutana mara kwa mara kujadili maendeleo ya chama na hasa kuondokana na umaskini kwa wazee.Tatizo la chama kwa hivi sasa ni kupata njia ya kuongeza... Read more
May 18, 2011
Chama cha Kupambana na Maambukizi ya Ukimwi Shuleni joined Envaya.
Location: mtwara manispaa, Tanzania
May 16, 2011