Envaya

msangani development organization ni shirika liloanza th 31 /3/2011 lengo la shirika hili nikutoa elimu kwa watanzania kuhusu ujasilia mali utawala bora na haki za binadamu elimu ya afya na maambukizi ya hiv na kutoa utetezi kwa watanzania na kujishuhulisha nakilimo ili kufikia malengo ya mkukuta hadi ifikapo 2023,kwasababu shirika bado changa tunaitaji sapota ya mashirika makubwa na serikali yatusaidie kufikia malengo tuliyo jiwekea .pia tunatoa shukrani za dhati kwa foundetion kwa kutupa mwanga wa safari yetu ya kufikia malengo tuliyo jiwekea.