Fungua
MAISHA  PA1

MAISHA PA1

Kahama,Shinyanga, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

MAISHA PA1 ni taasisi iliyoanzishwa na vijana wenye taaluma mbalimbali wakiwemow walimu,wakufunzi wa ujasiriamali, wanahabari, wataalamu wa maswala ya jamii,afya na wasanii.

LENGO

kutoa elimu ya mtazamo chanya kwa jamii kuhusiana maswala mtambuka kama vile afya ya mama na mtoto, ukimwi, usalama barabarani.