Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI MADUU Tunayo miradi mikuu mitatu kwa sasa

miradi hiyo ni  KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGAMBOGA KIJIJI CHA MBAE KATA YA UFUKONI MANISPAA YA MTWARA

 

MRADI WA UFUGAJI WA MBUZI WZ ASILI WA NYAMA NA MAZIWA NA WATATU NI MRADI WA KUTOA ELIMU YA UKIWMI KWA JAMII