Fungua
KOROGWE CIVIL SOCIETY COALITION

KOROGWE CIVIL SOCIETY COALITION

manundu ofisi ya ccm wilaya korogwe, Tanzania

  1. kuunganisha asasi za kiraia wilayani
  2. kusimamia utekelezaji wa haki za mtoto
  3. kusimamia maswala yahusuyo vvu/ukimwi upande wa kinga
  4. kuanzisha miradi midogomidogo ya kiuchumi kwa kijikwamua
  5. kujihusisha na haki za binadamu
  6. kuelimsha jamii kuhusu majanga na kujikinga na athari zake
Mabadiliko Mapya
KOROGWE CIVIL SOCIETY COALITION imejiunga na Envaya.
20 Juni, 2011
Sekta
Elimu, Afya, UKIMWI, Haki za binadamu, Nyingine (majanga,watoto)
Sehemu
manundu ofisi ya ccm wilaya korogwe, Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu