Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kujengea uwezo vikundi vya watu masikini kufikia kuwa huru vikundi vilivyohamasika na kuweza kushiriki kikamilifu katika kutoa mchango wa uundaji na utekelezaji wa sera katika shughuli zinazoboresha maisha yao kisiasa, kijamii, katika ngazi zote.
Latest Updates

KIKUNDI MWAVULI MASASI added a News update.
kutokana na kilimo cha choroko amepata mafanikio amenunua bati 25.
huko wilayani Masasi, kijiji cha Mnanje 'A'
May 23, 2011
KIKUNDI MWAVULI MASASI created a Projects page.
mradi wa kilimo cha maksai
uzalishaji wa mbegu za muhogo kinzani dhidi ya batoto na michirizi ya kikahawia
uongezaji thamani zao la muhogo kwa kusindika
hifadhi ya mazingira
uzalishaji wa mbegu za mafuta
May 23, 2011
KIKUNDI MWAVULI MASASI joined Envaya.
May 17, 2011
Sectors
Location
MASASI, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations