Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuwakomboa wakulima,wafugaji na wanamazingira katika kujiletea maendeleo endelevu kwa lengo la kupunguza umaskini

Latest Updates
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini added a News update.
Mkurugenzi afisi ya makamo wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar Issa Ibrahim Mahmoud akifungua Mkutano Mkuuwa Vikundi vya wakulima Zanzibar tarehe 30/07/2011
August 8, 2011
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini added 7 News updates.
Makamu Mwenyekiti wa MVIWATA Zanzibar Bw. Makame Ali Makame, akizungumza kwenye mkutano mkuu wa MVIWATA Zanzibar 2009
June 7, 2011
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini created a Team page.
ALI OMAR MRISHO MWENYEKITI – MAKAME ALI MAKAME MSAIDIZI MWENYEKITI – HALIMA IDRISSA KASSIM KATIBU – SILIMA ALI HAJI MSHIKA FEDHA – HAJI USSI HAJI MRATIBU
May 26, 2011
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini created a Projects page.
miradi mitatu – 1) foundation for civil siety sera ya kilmo – 2) farm africa uimarishaji wa vikundi na lishe ya wanyama(UMMB) – 3) SERIKALINI elimu ya ukulima na ujasiria mali, akiba na mikopo ...
May 26, 2011
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini created a History page.
Jumuiya imeanza shughuli zake 2004 na kusajiliwa 2005, inawanachama wa vikundi vy ushirika 52 na wanachama halisi ni 124.
May 26, 2011
jumuiya ya wakulima,wafugaji na mazingira jimbo la uzini joined Envaya.
May 26, 2011
Sectors
Location
zanzibar, Zanzibar West, Tanzania
See nearby organizations