Envaya

JEAN media connects CBOS and NGOS in order to bring about communication and change in communities,on two major issues which are HIV/aids and Environmental issues

Mabadiliko Mapya
Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeumba ukurasa wa Timu.
Sango Kipozi – Executive Director – Hussein Issa Tuwa – Deputy Director – Ajalaa... Soma zaidi
27 Agosti, 2015
Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari.
CREATING FRIENDSHIP BETWEEN CHILDREN OF BAGAMOYO TANZANIA AND CHILDREN OF SAGAMIHARA JAPAN, BY JEAN media/ENVAYA ORGANIZATION. ... Soma zaidi
25 Septemba, 2012
Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari 2.
MAZINGIRA HATARISHI KWA WAKAZI WA BONDE LA MTO MZINGA. – Baada ya mafuriko kulikumba jiji la Dar es salaam hapo tarehe 20/12/2011 na kuacha hasara kubwa kwa wakazi wa jiji hili,serikali ilichukua hatua za dharura kuhakikisha kuwa huduma za chakula,malazi na mavazi zinaendelea... Soma zaidi
31 Januari, 2012
Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari.
MAISHA MAPYA MABWEPANDE BAADA YA MAFURIKO. – Ni mji mpya kwa sasa,unaopatikana km 37 kutoka jijini Dar es salaam na upo upande wa kusini magharibi mwa jiji hilo,unaotegemewa kukaliwa na familia zipatazo 1800,baada ya makazi yao kuharibiwa kwa mafuriko ya tarehe 20/12/2011. – Jumapili ya tarehe 22/01/2012,msururu wa... Soma zaidi
23 Januari, 2012
Journalists Environment and (HIV)Aids Network imeongeza Habari 2.
HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla... Soma zaidi
16 Januari, 2012
Sekta
Sehemu
Dar-es-salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu