Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Una habari juu ya mashindano ya ngao ya Hisani yanayoendeshwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kila mwezi wa sita?Je,ni haki yaitwe ngao wakati hakuna senti hata moja inayoingia katika kuchangia jamii kama watoto yatima,wajane na wengineo wanaohitaji hisani?

Julius Muungano (PELO-Dar es Salaam)
9 Gicurasi, 2011 at 20:11 EAT

Katiba ya sasa inaeleza kwamba Tanzania ni nchi ya kijamaa wakati ukweli halisi hatuko tena kwenye ujamaa.Lakini pia imempa Raisi madaraka makubwa sana.Katiba mpya impunguzie madaraka,baadhi yahamishiwe kwa bunge.Mathalani,CAG na Mkurugenzi wa PCCB na PPRA waidhinishe na bunge baada ya uteuzi na wawajibike kwa bunge.

Sango Kipozi Mwenyekiti Mtendaji JEAN media (Dar es salaam. )
13 Gicurasi, 2011 at 22:48 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

Ni kweli kwamba Ngao ya ni mashindno ya soka ynayondaliwa na shirika la mpira wa miguu (TFA) yanayoshindanisha timu zilizochukua nafsi ya kwanza na ya pili katikaa Ligi kuu yaa soka Tazania, kwa maadhumuni ya kusaidia watoto yatima, wajane na wegine wahitaji. Lakini tatizo ni kamba pamoja na TFA kutotilia mkazo suala la kusaidia makundi hayo husika, jamii ya watanzania nayo wakiwemo wadau hawajafuatilia kuhusu jambo hilo, kwa kuhoji na kudadisi sababu za kupuuziwa kwa azma hiyo ya awali.

 

Kwakua wew umeanza kuhoji na kuvunja ukimya liolizingira jambo hilo na kuweka bayana mpungufu hayo, ni dhahiri kwamba umeamsha ari miongoni mwetu, ili nasi tuweze kufuatilia jambo hilo kwa makini zaidi. Tunashukuru sana kwa mchango wako, na tunatarajia na wengine watasaidia kuwasemea wale wote wenye haki yao.


Andika ubutumwa (Hisha)

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.