Envaya

HakiElimu

Walifaulu vipi kuingia sekondari?

Walifaulu vipi kuingia sekondari?

Kuna tatizo kubwa la udanganyifu katika mitihani ya taifa nchini Tanzania. Tangazo hili linabeba ujumbe kuonyesha baadhi ya mbinu zinazotumiwa ili wanafunzi "wafaulu". Tuungane kukomesha tatizo hili.
Views: 0
0 ratings
Time: 01:04 More in Nonprofits & Activism
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.