
Katika hili la maarifa ya msingi katika maisha watanzania tuko chini sana wanafunzi wengi hawana ubora #bajetielimu

Kigezo cha pili katika kupima ni maarifa ya msingi katika maisha ikiwa ni pamoja na kusoma, kuandika, kuhesabu #bajetielimu

Evidence: Uwezo 2010 research: 1 out of 10 children at Std 5 can read a std 2 level story in English

Katika kigezo hiki cha kwanza tuna mafanikio makubwa sana katika kudahili wanafunzi kutokea shule ya msingi mpaka chuo kikuu #bajetielimu

Dr Kitila Mkumbo, dean of Dar es Salaam University College of Education: changes in education mostly have been abt quantity, not quality

Kuna vigezo vinne unapopima hali ya elimu nchini -Dr Mkumbo cha kwanza ni idadi ya wanaoingia katika mfumo wa elimu #bajeti ya elumu

#bajetielimu dicussing the challenges and possibilities for education in Tanzania prior to reading of the edu budget - your thoughts?