Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@sophyb2010 @Jahhu Kwa hiyo, majengo kwanza au walimu? Kumbuka, walimu ndiyo wanafundisha na siyo majengo.

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu tunahitaji kuwekeza kiasi gani katika elimu ili kweli itukomboe? Nani amwambie Dr Shukuru Kawambwa ili asikie na atekeleze?

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu: je, elimu yetu inaupendeleo au la? Nani anafaidi zaidi? Tutaletaje usawa ili kila mtoto apate haki yake ya kupata elimu bora?

Haki Elimu HakiElimu

bajeti ya mwaka huu ijibu ni kiasi gani kinaenda katika kuboresha maeneo mahsusi mfano ufundishaji wa hesabu na sayansi

Haki Elimu HakiElimu

#bajeti elimu Dr Mkenda now presenting: Public funding of education: why should it matter to all of us?

Haki Elimu HakiElimu

Pia bajeti ya elimu mwaka huu iweke wazi na itenge fedha kwa ajili ya kujifunza yani maktaba za jamii kuelimisha jamii

Haki Elimu HakiElimu

Now listening to Dr Mkenda, economist about the economics of financing the education sector

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu ukichezea walimu, basi unachezea elimu kwa ujumla. Je, unakubaliana na Dr Mkumbo?

Haki Elimu HakiElimu

Tunajua kwamba mwalimu akiongezwa mshahara kuna watu hawapati ten percent ndio maana tunazidi kuwakandamiza watoa elimu nchini #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu tiujiulize: elimu yetu itaboreshwaje bila fedha za kutosha na usimamizi wa kutosha?