
@SAelloc suala la pesa kidogo ni changamoto uongozi sio kumwaga pesa bali kushirikisha wananchi kujiletea maendeleo

@fortunatak CHUKUA HATUA moja kati ya zilizotajwa hapa http://t.co/NjnQwEu6 " kwa wewe wa humu twitter tumia hii http://t.co/Wer7idym

@Chezeni Lengo ni "Kuboresha upatikanaji wa elimu ya awali nchini " Chekechea fuata hii link ili ufahamu zaidi http://t.co/NjnQwEu6 "

@SAelloc Ni mawazo ya mdau hata sisi hatuamini hivyo tunadhani wamebanwa na majukumu mbalimbali embu jaribia kuwafuatilia wamo humu humu

Ni viongozi wachache sana ambao watathubutu kushiriki katika #boreshachekechea sababu hali halisi inawasuta - MDAU WA ELIMU ,Je ni kweli?

@ITVTANZANIA Lini tena Mnarudia Kipindi Cha Tafakari Kilichoruka Hewani Ijumaa Iliyopita kuhusu "Elimu Ya Awali"

Tunatoa pole kwa watanzania waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali iliyotokea leo huko Mbeya pia... http://t.co/WSFEsLbc

@Decenttz Kwa kweli huwa sijui ile silabasi huwa inafundishwa wapi hata "janjajanja colleges" hakuna @sikika1 @ @Irenei2011