
@BatsyM Alikufundisha nini ambacho kimefanya umkumbuke na mtaje jina basi ili naye tumpe heshima yake kwa kukutoa "ujinga" #SikuyaElimu

Hizi ndizo picha 50 za Watanzania wa Kwanza "waliothubutu" kutuma ujumbe kwa "wahusika" ili tuokoe 'chekechea".Ona hapa...

@Sozesirikwa Hongera Mama Mtibili kwa kuwa mwalimu wa kwanza wa @Sozesirikwa #SikuyaWalimu

@JrMwaimu @RNMsuya Hongera BIUBWA IBRAHIM kwa kuwa mama wa kwanza wa @JrMwaimu "Muelimishe Mama atalielimisha Taifa- Balozi Msuya"

Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kimegoma kushiriki #SikuYaWalimu kwa madai kina huzuni na hakina mafanikio ya kuwaambia walimu -Habarileo

@JrMwaimu Je mwalimu wako wa kwanza alikuwa nani? Mtakie heri kwa kumtaja jina na sifa zake kwani leo ni #SikuyaWalimu

Je Mwalimu wako wa kwanza alikuwa wa shule ya Msingi au Chekechea? Mkumbuke siku ya leo kwa kujibu swali hilo na... http://t.co/LBqB8024

@PatHila Mtetee mwalimu huyo kwani ndio msingi wa ulipo leo hii ! Mrushe basi mwalimu wako wa kwanza aliyekutoa "ujinga" yani kukufundisha

@zittokabwe Basi tuendelee kuungana kuwatetea walimu wetu kwani ndio msingi wa tulipo leo ! Mwalimu wako wa 1 anaitwa nani? #SikuyaWalimu

Je unamkumbuka mwalimu wako wa kwanza ? Mwalimu wangu wa kwanza ni wa chekechea ! Siwezi kumsahau hivyo TUWATETEE WALIMU #SikuyaWalimu