Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

 

-      GSTF imetekeleza mradi wa Uimarishaji, Uwajibikaji na Uwazi kwenye usimamizi na utumiaji wa asilimali ardhi wilaya ya Kilosa, mradi uliofadhiriwa na Foundation for Civil Society Tshs.88,915,300/=

-      Mwaka 2011 GSTF ikifadhiriwa na Foundation for Civil Society Tshs.44,535,700/= ilitekeleza mradi wa Kuimarisha Ushirikishwaji, Uwajibikaji na Uwazi kwa jamii na viongozi wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro.

-      Mwaka 2009/2010 GSTF chini ya ufadhiri wa the Foundation for Civil Society Tshs.34,948,700/= ilitekeleza mradi wa Ufuatiliaji wa Matumizi ya rasilimali za umma katika tarafa ya Mikumi wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro.