Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

wanawake na ujariamali

FURAHA YA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KWA VIZIWI TANZANIA(FUWAVITA) (Dar es Salaam.)
March 14, 2013 at 11:45 AM EAT

asasi ya fuwavita inategemea kuwa na mafunzo endelevu juu ya ushiriki wa mafunzo ya ujasiriamali na usindikaji vyakula tunaomba ushauri wako nini kifanyike kabla ya kuanzaa mchakato huo?


Add New Message

Invite people to participate