- JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati ambao wanahitaji kukabiliana na vikwazo mbalimbali ili kufikia hatua au mipango waliojipangia. vikwazo hivyo vyaweza kuwa unyanyapaa,mila na desturi zinazochangia maambukizi ya VVU/UKIMWI mfano ukeketaji,ndoa za utotoni, ngono zembe n.k ukosefu wa elimu inayohusiana na masuala ya VVU/UKIMWI.kwa maana nyingine jukwaa ni chombo kinachoundwa na watu dhamira moja, na lengo moja katika kukabiliana kukomesha hali ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI katika jamii husika.
Kwa nini mradihuu unahitajika?Kwenyemradi wetu uliopita katika kata mbili za manispaa ya Arusha yaani unga ltd na sokon 1 tuligundua watu hawakujitokeza kupima VVU/UKIMWI Katika vituo mbalimbali ndani ya manispaa kutokana nauelewa mdogo na kutojua umuhimu au faida ya kupima na kujitambua. Kwa sababu hii inachangia maambukizi kuendelea kuongzeka kila mwaka badala ya kupungua watu wengi wanafanya ngono pasipo kutumia kinga. Pamoja na usambazaji na upatikanaji wa huduma za ushauri nasaha na upimaji wa hiari bado uelewa na mwitikio wa upimaji wa VVU/UKIMWI Tanzania (THIS) Uliofanyika mwaka 2003/2004 ulionyesha kuwa kiasi cha 15% tu ya wanaume na wanawake wamewahi kupima VVU. hii pia inachangiwa na wataalam wachache wenye uwezo wa kutoa ushauri nasaha na baadhi ya watu kuogopa kunyanyapaliwa ni kati ya vikwazo vinavyokwamisha kuongezeka kwa utumiaji wa huduma ya VCT pia kukosekana kwa huduma ya matunzo baada ya kupima.
FCS Narrative Report
Utangulizi
Tarehe: 14/12/2010 - 13/3/2011 | Kipindi cha Robo mwaka: 1 |
P.O.BO 3022
ARUSHA
Maelezo ya Mradi
Sera inatungwa na chombo cha serikali lakini wabia wa kutekeleza sera ni jamii kupitia aassi za kijamii kama wadau wa utekelezaji miradi ya jamii, hivyo ARV ESUPAT GROUP kama asasi ya kijamii ina wajibu na lengo la kutoa mchango kwa jamii katika kukidhi mahitaji, matakwa na malengo ya sera ya tafa ya kudhibiti maambukuzi mapya ya VVU.
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Arusha | Arusha | Sokoni 1 | 3,000 | |
Arusha | Arusha | Unga Limited | 2,000 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 172 | 3720 |
Wanaume | 108 | 1000 |
Jumla | 280 | 4720 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
2. Jamii kujitokerza kwa hiari kupima VVU
3. Jamii kuwa wazi zaidi kuhusu maambukizi ya VVU
2. Mafunzo kwa jamii kuhusu unyanyapaa na umuhimu wa kupima VVU
3. Hamasa kwa jamii kupima VVU
4. kuelimisha jamii kwa kutumia vipeperushi
6. Kutathmini mradi
2. Waelimishaji rika 20 waliopata mafunzo walitoa mafunzo kwa jamii kwa watu 240 katika vikao vitatu.kuhusu umuhimu wa kupima VVU/ UKIMWI
3. Waelimishaji rika 20 walifanya mikutano ya hamasa kati ya tarehe 7/2/2011 na 17/2/201 katika sehemu za kazi, sokoni na sehemu zenye mikusanyiko ya watu kuhusu umuhimu wa kupima VVU
4 Tarehe 3/2/2011 vipeperushi 1000 vilitengenezwa na kupewa waelimishaji rika 20 ambao walivisambaza sehemu mbalimbali.katika Kata za Unga Limited na Sokon 1
5. Mkutano wa tathimini ulifanyika tarehe 4/3/2011 katika ukumbi wa Community church, Arusha na kuhudhuriwa na wadqau 40 toka serikalini, asasi za kirai na jamii kwa ujumla.
6. Usimamizi na utawala wa mradi.ulifanyika katika kipindi cha mradi toka tarehe 1412/2011 hadi 13/3/2011
2. Waelimishaji rika kutoa mafunzo shs 1,432,700
3. Kufanya mikutano ya hadhara shs shs 1,423,000
4. Kutengeneza na kusambaza vipeperushi shs 300,000
5. Mkutano wa tathimini shs 1,065,000
6. Utawala
Jumla 4,678,700
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Ushiriki wa wanawake katika mikutano ulikuwa mkubwa kuliko wa wanaume pia wanawake ni wajasiri zaidi wenye ari na moyo wa kuwawazi na kusaidia jamii |
Mfumo wa kutoa elimu kwa jamii ni dhaifu na pia hakuna vifaa za kusaidia utoaji elimu kwa umma kwa urahisi |
Mfumo rasmi wa kutoa ushauri na huduma za tiba kwa umma haupo na vituo vya upimaji |
Upimaji vvu ni vichache katika manispaa ya arusha |
Hakuna mfumo rasmi wa utoaji habari na mawasiliano sahih kati ya serikali za mitaa na asasi za kijamii na jamii |
Tiba ya ukimwi bado ni tatizo na kuna ongezeko kubwa la huduma ya tiba mbadla ya jadi na asili inayoendana na ongezeko ya dhana inayoendana na ongezeko ya dhana potofu ya kuamini tiba mbadala |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Elimu na mfumo dunI katika jamii wa kutoa eliumu na hamasa katika jamii kuhusu kuouima VVU | Haikuiwezekana kukabiliana na kutojua kusoma hhivyo haikuwa rahisi kuwafikia watu wengi. |
Kuwepo kwa waganga wa tiba za asili ambao ni waongo wenye kupotosha umma | Tumejaribu kutoa tahadhari kuhusu kuwepo kwa maelezo potofutoka kwa waghanga wa jadi. |
Wanaume kukosa ari na moyo wa kuwa wazi kuhusu kuishi na VVU. | kKuwatumia wanawake majasiri kuwajengea wenzi wao ujasiri wa kuwa wazi kuhusu vvu |
Kutokuwepo na vituo vya kupima VVU katika Kata ya Unga Limited na sokoni 1 | Matangazo yalitolewa watu wakapime katika kituo cha Angaza katika Kata ya Levolosi |
Zana na mbinu hafifu ya kuwafikia walemavu wa aina mbalimbali | Hakua rahisi kukabiliana na changamoto hii |
Watu wengi katika kata za sokoni 1 na ungalimited hawajapima vvu | Mtano ya hamasa ilitumika kuhamasisha jamii kwenda kupima vvu |
Ugumu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa mafanikio | Mkusanyiko ya watu katika maeneo yao katika maeneo yao ya kazi ilitumika kuhamasisha watu kupima VVU |
Uwezo wa asasi ya ARV Esupati Group bado ni mdogo | Kutumia uwezo mdogo uliokuwepo |
Asasi ya ARV Esupati kutofahamika vizuri kwa jamii | Asasi ilitumia viongozi wa mtaa kujitangaza. |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Manispaa ya arusha | Afisa maendeleo ya jamii alishirikishwa hatua zote za mradi ambaye ndiye alitambulisha mradi kwa watendaji wa kata za Sokoni 1 na Unga Limited. Walihudhuria kikao cha tathmini. |
Serikali za kata | Watendaji wa kata walishirikishwa mbao ndio waliutambulisha mradi kwa watendaji na wenyeviti wa mitaa |
Serikali za mitaa | Wenyevikiti wa mitaa walisaidia kutoa matangazo kwa wananchi na pia walitoa orodha ya walengwa wanaoishi katika maeneo yao kwa asasi ya ARV Esupat Group |
Asasi ya waviu uitwayo Arusha Living Positively with HIV AIDS ALPHA+ | Viongozi wa Alpha walishiriki kwa kubadilishana uzoefu na timu ya esupatiGroup |
Asasi ya waviu ya Tumaini Post Test TUPO) | Viongozi wa tupo walishiriki kwa timu ya ARV Esupat Group |
Mipango ya Baadae
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 7 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 3 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 10 | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | 100 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 45 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 145 | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | 15 | (Hakuna jibu) |
Wanaume | 10 | (Hakuna jibu) | |
Jumla | 25 | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 50 | 3720 |
Wanaume | 50 | 1000 | |
Jumla | 100 | 4720 |
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo yaliyofanyika Dodoma | Tarehe 8/10/2009 | Mwongozo wa utekelezaji na usimamizi wa mradi | Mwongozo ulitumika katika kusimamia mradi |
Mafuzo yaliyofanyika DSM | Tarewhe 19/3/2010 | Mafunzo ya fund raising | Elimu ilitumika katika kusimamia mradi |
Mafunzo yaliofanyika DSM DSM | Tarehe 19/5/2011 | Mafunzo ya uthibiti wa fedha za mradi | Elimu ilitumika katika kusimamia mradi |